Kwa wale wanaotarajia kuoa/kuolewa
- Usioe wala kuolewa kwasababu ya sex.
- Usioe wala kuolewa kwa sababu tu umri wako unakuruhusu.
- Usioe wala kuolewa kwa sababu umechoka kuwa single.
- Usioe wala kuolewa kwa sababu umempa/umepata mimba.
- Usioe wala kuolewa kwa sababu ni mzuri au anapesa sana.
- Usioe wala kuolewa kwa sifa.
- Usioe wala kuolewa kwa sababu tu unapenda harusi.
- Usioe wala kuolewa kwa sababu eti marafiki zako wote
wameoa/wameolewa.
But:
- Oa ama olewa kwa sababu unataka kutimiza ulilojipangia.
- Oa ama olewa kwa sababu unataka upate msaidizi katka maisha
yako ambae atakupokea kwa mikono jinsi ulivyo na si atakavyo.
- Oa ama olewa kwa sababu unataka kutimiza ahadi
yako.
No comments:
Post a Comment