Ki uhalisia haya mambo sio miujiza ni science na uhalisia. Mwanamke anaweza kuwa na ladha nzuri wakati wa tendo na kumfurahisha mwenza wake akiwa anatumia vyakula vifuatavyo;
1.Nanasi au juice ya nanasi.
Nanasi lina sukari nyingi linapoliwa na mwanamke, humeng'enywa na hatimaye hujengea afya sehemu ya uke na kufanya iwe na ladha zuri. Wengine wanasema mnato. Vile vile matunda ya strawberry na yenyewe yanahusika sana.
2. Vitunguu maji na vitunguu swaumu.
Japo pia hua vinaleta harufu mbaya mwilini kama si msafi,kwa upande mwingine vitungu vinaongeza ladha kwa mwanamke na aweze kufurahisha na kuleta raha wakati wa tendo.
3. Vyakula vyenye mafuta mafuta.
Vilevile vyakula vyenye fat au oil nyingi hufanya kitu kiwe kitamu.
Lakini katika yote namba moja ndio inahusika zaidi.
No comments:
Post a Comment