Ukitupilia mbali maneno matamu na kuwa na sexy body kitu
kikubwa kinachoweza kumvutia mwenza wako na kutaka kuwa na wewe ni harufu.
Wanasayansi na wanasaikolojia wamefanya utafiti na kugundua
harufu ya pheromone hutumika sana kuvuta jinsia tofauti.
Watengenezaji wa perfumes wamekuwa na ujanja huo wa
kuchanganya na pheromones ndani ya perfume.Hii harufu hutumiwa na wanyama kwa
ajiri ya kuvutia mwenzake kimapemzi.
Ukipata perfume iliyo na hii harufu hakika inaweza
kukusaidia sana. Si tu katika kuvutia kimapenzi hata katika mikutano kama
unataka upate attention kubwa tumia perfume hii.
Hii ni issue ya kisaikolojia na sayansi siyo
uchawi. Maana harufu hiyo inapenya kwenye cells za mwili na kufanya akili iweze
kusisimka.
No comments:
Post a Comment